Mlima Kilimanjaro upo katika nchi ya Tanzania, Mkoa wa Kilimanjaro. Ni mlima mrefu kuliko milima yote katika Bara la Afrika. Ni miongoni mwa milima mirefu ambayo imesimama peke yake.
"{{ opinion }}"